2018 JUCO WOMEN FORUM

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Bi. Adelaida Muganyizi akipokea cheti cha ushiriki kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala wa JORDAN UNIVERSITY COLLEGE(JUCO) Prof.Bernard Witek katika kongamano la kina mama lililofanyika hapo chuoni tarehe 14 Aprili 2018.Kutoka kushoto wa kwanza ni Mshauri wa wanafunzi Bw.Henry C.Umeodum na wa nne ni Bw.Fabian Mbegete Afisa Mkuu wa Bima kutoka Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima.