Habari
-
2018 JUCO WOMEN FORUM
2 May, 2018Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Bi.Adelaida Muganyizi akipokea cheti cha ushiriki kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala wa JORDAN UNIVERSITY COLLEGE(JUCO) Prof.Bernard Witek katika kongamano la kina mama lililofanyika hapo chuoni tarehe 14 Aprili 2018.
Soma zaidi -
UTOAJI WA ELIMU YA BIMA KWA WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI VYUONI
25 Apr, 2018Msuluhishi wa Migogoro ya Bima Jaji Mstaafu Vincent K.D.Lyimo akiongea na wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa chuo cha VETA MOSHI tarehe 20 Aprili 2018 kuhusu namna migogoro ya bima inapaswa kusuluhishwa..
Soma zaidi -
UTOAJI WA ELIMU YA BIMA KWA WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI KATIKA VYUO VIKUU
25 Apr, 2018Afisa Mkuu wa Bima Bw.Fabian Mbegete akitoa elimu ya bima kwa wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MoCU) tarehe 20 April 2018 .Kampeni hii ya uelimishaji wa masuala ya bima inafanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Ikishirikiana na Ofisi ya Msuluhishi wa migogoro ya bima.
Soma zaidi -
UTOAJI WA ELIMU YA BIMA KWA WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI KATIKA VYUO VIKUU
25 Apr, 2018Mwamuzi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima Bw.Aderickson Njunwa akitoa elimu ya usuluhishi wa migogoro ya bima kwa wafanyakazi pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Meru kilichopo Arusha tarehe 18 Aprili 2018.
Soma zaidi