Dira na Dhima
DIRA
"Taasisi ya kutatua migogoro ya bima kwa ufanisi,weledi na kwa kuzingatia misingi ya haki."
DHIMA
“Kuendeleza , kukuza na kulinda Imani ya wadau wa soko la bima kwa ajili ya uchumi endelevu kupitia utaratibu mbadala wa usuluhishi wa migogoro ya bima.”