Karibu Naibu Kamishna ndani ya Banda la TIO
10 Jul, 2025

Naibu Kamishna wa Bima Bi. Hadija Said alitembelea banda la Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO) tarehe 8 Julai 2025 na kuelezwa vipaumbele mbalimbali vya taasisi hiyo katika utoaji elimu ya saba saba.
TIRA KWA SOKO SALAMA LA BIMA