UTOAJI WA ELIMU YA BIMA KWA WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI VYUONI

Msuluhishi wa Migogoro ya Bima Jaji Mstaafu Vincent K.D.Lyimo akiongea na wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa chuo cha VETA MOSHI tarehe 20 Aprili 2018 kuhusu namna migogoro ya bima inapaswa kusuluhishwa