UTOAJI WA ELIMU YA BIMA KWA WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI KATIKA VYUO VIKUU

Mwamuzi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima Bw.Aderickson Njunwa akitoa elimu ya usuluhishi wa migogoro ya bima kwa wafanyakazi pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Meru kilichopo Arusha tarehe 18 Aprili 2018.