Kuanzishwa kwa TIO
Ofisi ya Msuluhishi Migogoro ya Bima ni Taasisi inayojitegemea iliyoanzishwa chini ya sheria ya Bima Namba 10 ya Mwaka 2009 Sura ya 394.Lengo la kuanzisha Ofisi hii ni kutatua migogoro baina ya wateja wa Bima na Makampuni ya Bima kupitia njia za usuluhishi nje ya utaratibu wa kawaida wa kimahakama.