Msuluhishi wa Migogoro ya Bima S.L.P 2893 DAR ES SALAAM Nukushi :+255 22 2111094 Simu : +255 22 2111117 TIO HEAD OFFICE 4TH FLOOR, PPF TOWER OHIO ROAD/ GARDEN AVENUE
Ada ya kushughulikia malalamiko
Mlalamikaji
atapaswa kulipa ada ya kushughulikia malalamiko Shilingi za Kitanzania elfu
ishirini na tano tu mara baada ya
malalamiko yake kupokelewa na kuonekana yanafaa kushughulikiwa.