SAFARI YA WATUMISHI WA TIO AFRIKA YA KUSINI

Msuluhishi wa Migogoro ya Bima Tanzania (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na mwenyeji wake Msuluhishi wa ndani wa Migogoro ya Bima wa Kampuni ya Old Mutual (wa pili kutoka Kushoto) na watumishi wa TIO walipotembelea Kampuni hiyo Cape Town Afrika ya Kusini tarehe 11/7/2017.