Habari
-
WAFANYAKAZI WA TIO WALIPOTEMBELEA KITENGO CHA KUPOKEA MALALAMIKO JOHANNESBURG AFRIKA YA KUSINI
15 Aug, 2017Msuluhishi wa Migogoro ya Bima za kawaida Bi.Diane(wa kwanza kutoka kushoto) akiwatambulisha wafanyakazi wa ofisi yake kitengo cha Kupokea malalamiko(hawaonekani pichani) kwa timu ya Msuluhishi wa migogoro ya Bima Tanzania walipotembelea ofisi hiyo Johannesburg Afrika ya Kusini tarehe 13/7/2017.
Soma zaidi -
SAFARI YA WATUMISHI WA TIO AFRIKA YA KUSINI
15 Aug, 2017Msuluhishi wa Migogoro ya Bima Tanzania (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na mwenyeji wake Msuluhishi wa ndani wa Migogoro ya Bima wa Kampuni ya Old Mutual (wa pili kutoka Kushoto) na watumishi wa TIO walipotembelea Kampuni hiyo Cape Town Afrika ya Kusini tarehe 11/7/2017.
Soma zaidi -
Mkutano wa wadau wa bima uliofanyika Mtwara tarehe 25/08/2016
7 Sep, 2016Afisa Utumishi na Utawala Mwandamizi Bw.Oswald Samki akiwaeleza wadau wa bima- Mtwara na Lindi kuhusu tovuti ya Ofisi ya Msuluhishi wa migogoro ya bima , inavyoweza kusaidia kuwasilisha malalamiko ya migogoro ya bima kwa wadau waliopo sehemu mbalimbali za Tanzania Bara na Visiwani .
Soma zaidi -
Mkutano wa wadau wa bima uliofanyika Zanzibar tarehe 11/08/2016
29 Aug, 2016Msuluhishi wa Migogoro ya bima Mh.Jaji Mstaafu Vincent K.D.Lyimo akiongea na washiriki wa mkutano wa wadau wa bima uliofanyika katika ukumbi wa mikutano TIRA Zanzibar tarehe 11/08/2016.
Soma zaidi